Baadhi ya wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya
ya Iringa mkoani Iringa maarufu kwa jina la Tosamaganga
Alumni Association wakiwa wanajadili kitu walipokuwa kwenye ziara ya kuitembelea shule waliyosoma
Baadhi ya wanafunzi waliowahi kusoma shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilaya
ya Iringa mkoani Iringa maarufu kwa jina la Tosamaganga
Alumni Association wakiwatembelea wagonjwa katika hospitali ya Tosamaganga mkoani Iringa
1 comment:
Tuliosoma Mwadui Sekondari, vipi jamani, Mbona hatukumbuki tulikotoka?
Tujitahidi tuungane kwa pamoja kama wanavyofanya wenzetu waliomaliza shule nyingine.
Wiki iliyopita nilipigwa deni sana baada ya kuona majirani zetu Shinyanga Sekondari walivyofanya, tuamke na sisi.
Post a Comment