ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 26, 2017

WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI WAKUTANA NA REA NA WAZIRI WA NISHATI.

Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Medard Kalemani (aliesimama) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
 Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Boniface Gissima (aliesimama) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
  Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mheshimiwa Dotto Biteko akiongoza kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
 Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa karagwe, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (katikati)akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma. Wengine ni Wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa Chonga Mheshimiwa, Juma khatib (kushoto) na Mbunge wa Musoma Mjini Mheshimiwa,Vedastus Manyinyi (kulia).
 Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Mjini, Mheshimiwa Vedastus Manyinyi (aliesimama)akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma. kushoto ni Mjumbe wa kamati hiyo na Mbunge wa karagwe, Mheshimiwa, Innocent Bashungwa.
Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Kiza Mayeye (katikati)akizungumza katika kikao cha pamoja baina ya wajumbe wa kamati hiyo na watendaji kutoka Wizara ya nishati walioongozwa na Waziri wa nishati, Mheshimiwa, Medard Kalemani wakati wa kupokea na kujadili Taarifa kuhusu upatikanaji/ukusanyaji wa fedha za miradi ya REA katika kipindi cha robo mwaka kilichofanyika leo Mjini Dodoma. Wengine ni Wajumbe wa kamati hiyo, Mbunge wa kinondoni Mheshimiwa, Maulid Mtulia (kushoto) na Mbunge wa Bukoba Mjini Mheshimiwa, Wilfred Lwakatare (kulia).
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments: