Advertisements

Thursday, November 16, 2017

UGALI PARTY PAMBE YA KUFUNGA MWAKAILIYOFANYIKA SIKU YA BIRTHDAY YA MUNAA, CUMMING, ATLANTA ,GA. TIRIRIKA NA PICHA UJIONEE WADAU WALIVOJILAMBA..

sapraiiiiiiiiiiiiiiz!!! 
Cake aliyafanyiwa surprise na kina Salome wa Atl 
Najat 
Munaa huyoo(kabinti spesho) 
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
aunt Mariam 
Aunt Fatma
Munaa akimlisha mommy dearest cake
Samaki la kupakwa shatashata 
Mboga zinajieleza
Menu ilipendeza mnoooooo 
sisters 
Da Lila na mjukuu 
bi harusi mariam akijiachia kwa furaha 
babies 
Munaa (kabinti spesho) 
Mambo yakivokuwa jikoni 
Aisha 
Hadija 
Mariam 
Saada 
Mama na mwana, mjukuu hapo kati 
kabinti spesho 
Maongezi kabla ya kuparty 
Munaa na Irene 
Waremboz wa Atl 
Irene 
Furaha baada ya kumuona bi harusi 
Lolo 
Tuma 
Ugali ulisindikizwa na mboga zisipopungua 14 na vionjo vyake 
Hadija na watoto wake 
mkao wa kula 
beautiful kids 
Aunt mariam akiongoza kuupakua ugali 
Rahaaaa 
kata cake tule 
Surprise ya picha kuuubwa ya Munaa alipokuwa Paris aliyotengenezewa na mamaake 
She is a queen, YES ni zawadi toka kwa wifi 
Selfie 
High tea ilikuwepo (London experience) 
vitafunwa 
cake kwa malaika ni usher ya baraka 
Mama na mwana 
Rachel 
Jamila 
Ugali uliliwa kwa mkono na maongezi ya hapa na pale 

oyoooooo 

No comments: