AJ akiwa mbele na keki yake siku ya Jumapili Dec 17, 2017 aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa na ndugu, jamaa na marafiki Clarksburg, Maryland.
AJ akipata ukodak moment.
Ndugu, jamaa na marafiki watoto wenzake na AJ wakipata keki ya siku ya kuzaliwa ya AJ.
Watoto wenzake na AJ wakila keki.
AJ (watatu toka kushoto) akiwa kwenye pozi tata na marafiki zake
AJ akifarahia michezo ya kudunda kwenye maputo.
Aj na marafiki zake wakiruka na kufurahi kwenye maputo.
No comments:
Post a Comment