Advertisements

Tuesday, December 26, 2017

CHRISTMAS NYUMBANI KWA CHACHA MECHANICBURG, PENNSYLVANIA

Wadau ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamekutana nyumbani kwa Chacha mji wa Mechanicburg, Pennsylvania kucherehekea sikukuu ya Christmas kifamilia zaidi siku ya Jumatatu Desemba 25, 2017.
Ilikua ni furaha kukutana ndugu, jamaa na marafiki wa siku nyingi,
Ndugu, jamaa na marafiki walikutana pamoja nyumbani kwa Chacha Mechanicburg, Pennsylvania wakijizibua kidogo katika kusherehekea Christmas.
Mathew kutoka Houston, Texas akichoma mnofu na kukatakata katika kuandaa maakuli ya Christmas.
Watoto wakifuarahia chakula cha pamoja.
Watoto wakitoa burudani kwa wazazi wao.
Picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Abdalah akipata ukodak moment na watoto.

No comments: