Wakristu wapendwa,
Tumsifu Yesu Kristu.
Tunapenda kuwatangazia ya kuwa,
Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili, tarehe 10 Mwezi Disemba 2017, Saa 8:00 mchana (Sunday 10 th Dec 2017 at 2 pm).
Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.
Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.
Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.
Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni sana tumshangilie Bwana, kwa lugha yetu ya Kiswahili.
Mbarikiwe.
Karibuni...sana..
Kutoka kwa Padre Mushi na Padre Amobi
No comments:
Post a Comment