Basil na Christa wakiwa kanisani kwenye misa ya ndoa yao iliyofanyika Jumamosi Dec 9, 2017 katika kanisa la Blessed Sacrament Burlington, North Carolina. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
Maharusi wakifuatilia misa ya ndoa yao
Basil akijiandaa kumvisha pete Christa.
Basil akimvisha pete Christa.
Christa akijiandaa kumvisha pete Basil
Christa akimvisha pete Basil.
Maharusi wakiwa na furaha mara baada ya kuvishana pete.
Maharusi wakiwa kwenye ndoa yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Dec 9, 2017 katika kanisa la Blessed Sacrament Burlington, North Carolina.
Picha ya pamoja
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Wasimamizi wa Bi harusi
Familia ikifuatilia misa ya ndoa ya Basil na Christa
Mpambe wa bibi harusi
Mpambe wa Bwana harusi
1 comment:
Such a wonderful wedding. Christa Congratulation Mammy!
Post a Comment