Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Total Momar Nguer mara baada ya
kuwasili Ikulu pamoja na ujumbe wake.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Kampuni ya Total Momar Nguer mara baada ya kamaliza mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya Total Momar Nguer wa tatu
kutoka (kushoto ) aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya kamaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni
Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Nishati
Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage
pamoja na Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi wa pili kutoka (kushoto) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment