Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Mhe. Bella Bird wakifungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Mhe. Bella Bird wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Andrew Wilson Massawe wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Miles wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa Majaliwa wakizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kutoka kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ramani ya Tanzania yenye kuonesha takwimu ya hali ya maambukizi ya VVU kimkoa wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment