ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 1, 2017

USIKOSE FASHION SHOW YA MWANAMITINDO ASYA DEC 9, KATIKA JIJI LA WAJANJA OAKLAND - CALIFORNIA

Kwa manunuzi ya awali ya tiketi yako unaweza kuzipata kupitia namba 510-269-0220 au mtandaoni kupitia tovuti la EventBrite. Bonyeza hapa kununua tiketi yako sasa ujivunie onyesho hili kabambe https://goo.gl/TuknaX OR  https://tanzania-independence-day.eventbrite.com

Njoo ujumuike na wa-Tanzania wenzako kutoka sehemu mbali mbali pamoja na chakula cha kitanzania, ngoma za kiasili, mziki laini kutoka Tanzania na vinywaji vyote vitatolewa BURE.

No comments: