Advertisements

Sunday, December 31, 2017

VIVAZI VILIVYOTAMBA TWIGA LADIES END OF THE YEAR CELEBRATION, NEW YORK

Baadhi ya waratibu wa Twiga Ladies wakipata ukodak moment siku ya Jumamosi Desemba 30, 2017 walipofanya mnuso usiopimika kwenye mizani wa kufungia mwaka 2017na usiokuwa na mfano ndani ya jiji lisilolala wanyamwezi wenyewe wanaliita Big Apple,  New York nchini Marekani na kuhudhuriwa na wadau kutoka New York na maeneo ya jirani
Kwa picha zaidi za vivazi red carpet bofya soma zaidi

No comments: