Advertisements

Sunday, December 31, 2017

MNUSO WA NGUVU WA KUFUNGIA MWAKA ULIOANDALIWA NA TWIGA LADIES NEW YORK

Wadau mbalimbali waliojumuika pamoja kwenye mnuso wa nguvu wakufungia mwaka ulioandaliwa na Twiga Ladies ndani ya jiji lisilolala New York siku ya Jumamosi Desemba 30, 2017.
Wadau wa New York na miji ya jirani wakijumuika pamoja kwenye mnuso wa kufungia mwaka ulioandaliwa na Twiga Ladies ndani ya jiji la New York.
Wadau waki[pata maakuli siku ya jumamosi Desemba 30, 2017 kwenye mnuso wa nguvu usiopimika na mizani ndani ya jiji lisilolala New York, mnuso wa kufungia mwaka ulioandaliwa na Twiga Ladies.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: