Advertisements

Monday, January 1, 2018

VIDEO:WATAFITI WA ZAO LA KAHAWA WATAKIWA KUONGEZA UTAFITI WA MBEGU BORA MKOANI RUVUMA

Asilimia 90 ya wakazi wa halimashauri ya wilaya ya mbinga ni wakulima na wanategmea zao la kahawa kama zao la biashara kwao ukilinganisha na halimasahuri nyingine za mkoa wa Ruvuma.

Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa wakulima hao wamejikuta wakipata mazao duni na kuhamua kwenda katika kituo cha utafiti wa zao la kahawa UGANO ili kuweza kupata mishe itakayo saidia kuongeza thamani ya zao la kahawa. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

No comments: