JR, akipokea Komunio ya kwanza kutoka kwa Padri wa kanisa la St, Patrick Kansas City, ilikuwa siku ya furaha kwa baba wa mtoto Bwana Leonard Fungasha Mpai wa Kansas akiwa na familia yake wakishuudia siku hii muhimu kwa mtoto wake.
Baada ya kutoka kanisani walienda kupata chakula wakiambatana na wanafamilia wote, Mipango ya chakula iliandalikuwa na DatumaEventPlanning & OrganizingServices. Hapa chini unaweza kupata taswira mbili tatu kwa kugonga soma zaidi.
JR akiwa kwenye mkao wa kusubiri menus baada ya kutoka kanisani.
Baba na mtoto wakipata ukodak na Padri.
Shangazi wa Jr, Miss Hope akipata ukodaki kabla ya kuondoka kanisani
Mtu na shangazi yake wakirushiana macho mubashala
Fungasha na mtoto wake wakipata ukodak kuonyesha walivyo funja kabati kiroho safi.



No comments:
Post a Comment