ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 1, 2018

WANAJUMUIYA NYUMBANI KWA WAFIWA WEST NEW YORK, NEW JERSEY UKODAK WA VIJIMAMBO ULIKUWA HAPO PIA.

Mwenyekiti wa jumuiya ya New York Mr Sylvester Mwingira ma makamu wake Gaston Mkapa wakiongea machache mbele ya wanajumiya waliojitokeza nyumbani kwa wafiwa.
Watoto wa marehemu mzee Wilfredy Mwingira  wakiwa nyumbani kwao New Jersey.  Mzee Mwingira amefariki siku ya Alhamis huko nyumbani Tanania na mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya jumanne kwenye makaburi ya Kinondoka.
Wanajumuiya wakiwa nyumbani kwa wafiwa kuwafariji.
 529 54TH STREET, WEST NEW YORK,
 NJ 07093
wanajumuiya wakiwa nyumbani kwa wafiwa West New York, New Jersey.












1 comment:

Anonymous said...

Poleni sana wafiwa. Sioni sababu ya nyuso za furaha na tabasamu ambazo wengi wamezionyesha kwenye hizi picha.