Advertisements

Friday, May 4, 2018

ALL AFRICA LOGISTICS WAANZA KUPAKIA MIZIGO YA KWENDA TANZANIA

 Pisu Waricoy akihamisha mizigo toka kwenye lori, mizigo iliyokuja toka Texas na kwengineko na kuipakia kwenye container tayari kwa safari ya Bongo kama alivyokutwa na ukodak wa Vijimambo Germantown, Maryland.
 Pius akiwa na msaidizi wake Kwame wakipakia mizigo kwenye container.

 Container likielekea kujaa.
 Container likiendelea kupakiwa mizigo

No comments: