Advertisements

Friday, May 4, 2018

EJ KUWANIA TAJI LA MISS MALAIKA DMV

Mtoto wa Kitanzania wa hapa DMV anawania taji la Miss Malaika. Watanzania wa DMV tuonyeshe upendo na mshikamano kwa kununua tiketi ya shindano hili litakalofanyika hapa DMV. Kwa habari zaidi kujua ni nini haswa kilichojiri kuhusu shindano hili tafadhali tembelea tovuti hii hapa chini.. Karibuni sana.

No comments: