Advertisements

Monday, May 7, 2018

MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON ZAFANA JIJINI MBEYA

Mwenyekiti wa Taasisi ya Tulia Trust, na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizindua mbio za Kilometa 45, wakati wa Mbio za Mbeya Tulia Marathon (MTM) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya jana na kushirikisha wageni mbalimbali kutoka mikoa tofauti na Makampuni. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Mwenyekiti wa Taasisi ya Tulia Trust, na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akiongoza mbio za Kilometa Tano, wakati wa Mbio za Mbeya Tulia Marathon (MTM) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo na kushirikisha wageni mbalimbali kutoka mikoa tofauti na Makampuni. 
Wadau wakishiriki mbio hizo
Mshindi wa kwanza wa mbio za Kilometa 100 kwa upande wa wanawake, Nasra Abdallah, akimalizia mbio za Mbeya Tulia Marathon (MTM) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo na kushirikisha wageni mbalimbali kutoka mikoa tofauti na Makampuni. 
Mshindi wa Marathoni ni Abraham Too alikimbia 2:42:02:08, Francis Bowen wote wa Kenya 2:42:02:73 na Nestory Steven aliyekimbia saa 2:45:39, Ambapo wa kwanza alipata Sh milioni 3, wa pili milioni 2 na watatu milioni 1.
Wanawake ni:- 
Nusu marathoni ni Failuna Abdi, Christina Kambua wa Kenya na Adelina Trazias wa Tanzania, kwa wanaume ni Bernard Musau wa Kenya, Paschal Mombo wa Tanzania na George Olihaki wa Kenya. Ambapo mshindi alipata sh milioni 2 wa pili wa pili 700,000 na watatu 500,000.
Kwa upande wa mbio za Baiskeli bingwa ni Richard Laizer, Hamis Hussein na Masunga Duba, kwa wanawake ni Sophia Khatimu, Lawlence Luzuba na Habibu Mathias
Mita 1500 ambao walivikwa medali na Nanai ni James John, Geofrey Edison, Yeli Adam kwa wanawake ni Sarah Ariko, Omega Elia na Silvana Elias
Mwenyekiti wa Taasisi ya Tulia Trust, na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizindua mbio za Kilometa 45, wakati wa Mbio za Mbeya Tulia Marathon (MTM) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na kushirikisha wageni mbalimbali kutoka mikoa tofauti na Makampuni. 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Tulia Trust, na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizindua mbio za Kilometa 21, wakati wa Mbio za Mbeya Tulia Marathon (MTM) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na kushirikisha wageni mbalimbali kutoka mikoa tofauti na Makampuni. 
Mwenyekiti wa Taasisi ya Tulia Trust, na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akiwaongoza washiriki mbio za Kilometa Tano, kufanya mazoezi ya kujiandaa kushiriki Mbio za Mbeya Tulia Marathon (MTM) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo na kushirikisha wageni mbalimbali kutoka mikoa tofauti na Makampuni. 
Wadau wakipozi kwa picha
Mshindi wa tatu Kilometa 45 kwa wanawake kutoka Kenya akimalizia mbio
Wazee wakijifua kabla ya kuanza kutimua mbio za Kilometa mbili
Washiriki wa mbio za wazee za Kilometa mbili wakianza kutimua mbio
Baadhi ya washiriki wakifanya mazoezi ya kujiandaa na mbio
Mpigapicha wa Azam Tv, akiwa kazini kupata matukio ya mbio hizo kwa kutumia usafiri wa Bodaboda
Mwakilishi wa Kampuni ya Derm Electrics, Irene na Mtangazaji wa Redio ya Mbeya Fm, Gwamaka Mwankota, wakishiriki mbio hizo.
Wawakilishi kutoka DSTV wakishiriki mbio za Kilometa tano
Mhes Dkt. Tulia akiwaongoza washiriki wa mbio za Kilometa tano kumaliza mbio hizo.
Kutoka (kushoto) ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, Farid Kubanda Fid Q, Sebastian na Barbara kutoka Clouds pamoja na mwakilishi wa Tatu Mzuka, wakiwa katika Uwanja wa Sokoine kushuhudia mbio hizo.
Mshindi wa pili wa mbio za Kilometa 45 kwa upande wa wanawake, Sarah Ramadhan, akimalizia mbio hizo 
Mshindi wa pili wa mbio za Kilometa 45 kwa upande wa wanawake, Sarah Ramadhan, akibebwa na wasaidizi baada ya kuzidiwa na kuishiwa nguvu wakati akimalizia mbio hizo za Mbeya Tulia Marathon (MTM) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo na kushirikisha wageni mbalimbali kutoka mikoa tofauti na Makampuni.
Mshindi wa pili Kilometa 21 akimalizia mbio
Mshindi wa kwanza wa mbio za Kilometa 100 kwa upande wa wanaume, akimalizia mbio za Mbeya Tulia Marathon (MTM) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo na kushirikisha wageni mbalimbali kutoka mikoa tofauti na Makampuni. 
Wakimbiaji wa Kilometa 500 wakianza kutimua mbio
Marry Naali akimalizia mbio za Kilometa 800 na kushika nafasi ya kwanza
Wadau katika pozi la picha
Washiriki kutoka CRDB wakipiga picha ya kumbukumbu na Naibu Spika
Mafoto naye hakuwa nyuma kushiriki mbio hizo za kilometa tano
Naibu Spika, Dkt. Tulia akijadili jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Amosi Makala.

No comments: