Advertisements

Wednesday, June 20, 2018

TIMU YA SOCCER YA WATANZANIA ATLANTA. GEORGIA YACHUKUA KOMBE

Timu ya waTanzania ya Atlanta Tanzanite FC imechukua ubingwa wa premier league katika mchezo mkali na wa kusisimua baada ya kuishinda timu ya Korea United kutoka korea kwa bao 1-0 lilifungwa na kocha mchezaji bro Mike dakika ya 65 kipindi cha pili. Hii ni mara ya pili mfululizo kwa Tanzanite FC kuchukua ubingwa baada ya kuuchukua mwaka jana majira ya baridi na mwaka huu during spring.
 Timu ya waTanzania Tanzanite FC katika picha ya pamoja kabla ya mtanange.
 Timu ya waTanzania Tanzanite FC wakikabiziwa kombe la ushindi
 Timu ya waTanzania Tanzanite FC wakishangilia baada ya kukabiziwa kombe.
 Ushindi mtamu
 baadhi ya wachezaji wakifurahia kombe
 Timu ya waTanzania Tanzanite FC wakiwa katika picha ya pamoja na kombe lao
Kushoto ni mchezaji Dennis akiwa na mfungaji wa bao la ushindi mchezaji wa Taifa Stars wa zamani na Coastal Union Michael John

No comments: