Mkuu wa Wilaya ya Momba - Juma Irando akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Songwe ambao ni wanachama wa NMB Business Club katika uzinduzi wa Business Club mpya uliofanyika mjini Tunduma juzi. Wengine kwenye picha ni Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu – Straton Chilongola (Kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara cha NMB – Donatus Richard.
Mkuu wa Wilaya ya Momba - Juma Irando akikabidhi vyeti kwa wateja bora wa NMB Bank kwenye ufunguzi wa klabu mpya ya wafanyabiashara mkoani Songwe katika hafla iliyofanyika mjini Tunduma mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu – Straton Chilongola (Kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara cha NMB – Donatus Richard.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara cha NMB – Donatus Richard (katikati) akizungumza kwenye uzinduzi wa Business Club mpya uliofanyika mjini Tunduma juzi.
Mkuu wa Wilaya ya Momba - Juma Irando akikabidhi vyeti kwa wateja bora wa NMB Bank kwenye ufunguzi wa klabu mpya ya wafanyabiashara mkoani Songwe katika hafla iliyofanyika mjini Tunduma mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu – Straton Chilongola (Kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara cha NMB – Donatus Richard.
Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu – Straton Chilongola akizungumza kwenye uzinduzi wa Business Club mpya uliofanyika mjini Tunduma juzi.
Picha yapamoja kati ya mgeni rasmi paamoja na wakabidhiwa vyeti.
No comments:
Post a Comment