Uzi wa Yanga kwa mbele
Uzi wa Yanga kwa nyuma
Uzi wa Simba kwa mbele
Uzi wa Simba kwa nyuma
Ijumaa July 6, 2018 matimu kepteni na makocha wa Simba na Yanga wakiwemo wa mpira wa kikapu watakua na mkutano na waandishi wa habari na siku hiyo timu za Yanga na Simba watakabiziwa uzi mpya wa mtanage wao unaosubiliwa kwa hamu
Mkutano wa waandishi wa habari utafanyika 4600 Powder Mill Rd
Beltsville MD 6 pm Karibuni
No comments:
Post a Comment