ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 27, 2018

NYONI, DILUNGA, NDEMLA NA KAGERE WAANZA MAZOEZI UTURUKI

Erasto Nyoni, Hassan Dilunga, Said Hamisi Ndemla na Meddie Kagere wakiwa mazoezini hapa Uturuki.
Wachezaji hao wamewasili leo mchana majira ya saa 12:43 mchana kwa ndege ya Shirika la Ndege la Uturuki la Turkish Airlines.

No comments: