Advertisements

Saturday, July 14, 2018

TANGAZO LA MUHADHARA - DMV

Jumamosi, July 14, 2018

Salaam Aleikum warahmatullah,

Kutakuwa na Muhadhara wa mawaidha ya Dini kutoka kwa Mashekhe wetu wa kutoka nyumbani, tunaombwa tuhudhurie na kuwajulisha wenzetu tupate kunufaika sote kutoka kwa Wahadhiri wetu:-

▪Sheikh Nurdin Kishki(Tanzania)
▪Sheikh Yusuf Abdi(Kenya)
▪Sheikh Ashraf Ndayisenga(Rwanda)

Address :-
Muslim Community Center (MCC)
15200 New Hampshire Ave,
Silver Spring, MD 20905

*Kuanzia Saa Kumi Jioni hadi saa Nne usiku (4pm mpaka 10pm)*

Kwa taarifa zaidi wasiliana na:-

Ali Mohamed 301 500 9762
Shamis 202 509 1355

No comments: