ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 29, 2018

WHITE PARTY YA BESIDEI USIPIME YAWAKUTANISHA WADAU WA LONGI KIPINDI DMV

Neesha akiwa kwenye mnuso wa white party ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika, Laurel, Maryland siku ya Jumamosi July 28, 2018 na kuwakutanisha wadau walioishi DMV miaka mingi. Picha na Vijimambo Blog
Wazaliwa wa July wakipata picha ya pamoja kwenye mnuso wa white party iliofanyika siku ya Jumamosi July 28, 2018, Laurel, Maryland.
Mshereheshaji Tuma (kulia) akiwaita wazaliwa wa mwezi July kufungua champagne
 Wazaliwa wa mwezi July wakijiandaa kufungua champagne kutoka kushoto ni Taji, Mwasi, Neesha na Dorothy.
Wazaliwa wa July wakiwa kwenye picha ya pamoja. kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: