Advertisements

Tuesday, July 3, 2018

YOUTH WORKSHORK plus WATOTO DAY DMV


Myriam Wright mmoja ya wanakamati wa Youth na Education akielezea program mbalimbali kwa wanafunzi waliokuwepo na wazazi wao siku ya Youth Workshop na watoto day iliyoandaliwa na Jumuiya ya waTanzania DMV Spencerville, Maryland June 30, 2018. Picha kwa hisani ya ATC Metro
Viongozi wa Youth wakifuatilia youth Workshop
WaTanzania DMV na marafiki zao waliohudhuria Youth Workshop na watoto day
WaTanzania DMV na marafiki zao waliohudhuria Youth Workshop na watoto day
Profesa wa chuo cha Howard Msia Kibona ambaye alikua msemaji mkuu kwenye workshop hiyo.
Kushoto ni mtangazaji wa Azam Tv na mmiliki wa blog ya michezo Bin Zubery akijumuika na wanaDMV kwenye workshop hiyo iliyojumulisha siku ya watoto.
Watoto wakifurahi kwenye bounce house
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: