Tumsifu Yesu Kristu.
Tunapenda kuwatangazia ya kuwa,
Tutakuwa na misa yetu ya kiswahili itayofanyika Jumapili tarehe 12 Mwezi Agusti 2018, kuanzia saa nane mchana. ( Sunday, 12 August 2018 at 2 pm)
Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.
Karibuni tumshukuru Mungu.
Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.
Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.
Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi.
Mbarikiwe na
Karibuni...sana..
Kutoka kwa Padre Mushi
No comments:
Post a Comment