ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 20, 2018

HUDUMA YA KUFASIRISHA MIZIGO KWA KWA USAFIRI WA ANGA KUTOKA USA MPAKA TANZANIA

Related image

S.E FREIGHT, inapenda kuwafahamisha habari njema wale wote wenye mizigo ya ndege kwenda Dar es Salaam wakati ndio huu kuleta mizigo yenu. 


Kwa wakazi wa Washington DC na vitongoji vyake tafadhali piga number 2403051701 pia unaweza kuwasiliana kwa Whatsap kupitia number hio hio.

Mizigo ya ndege tunacharge $15 tu kwa kilo na unaletewa mzigo wako hadi mlangoni kwako popote Dar es Salaam, hatuna limit ya kg , tutakusafirishia hata sindano na kwa mizigo ya kwenda mikoani tunawasafirishia pia bila wasiwasi wowote.

No comments: