ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 8, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY ANNA MENGI KANISA LA AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Watoto wa marehemu Regina na Abdiel Mengi wakiingia kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki 
 Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki.
 Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.
Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kutoa heshima zao za mwisho kwa  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.

Picha na IKULU

No comments: