ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 23, 2018

NAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AFANYA UKAGUZI KITUO CHA MABASI YA UBUNGO

Naibu Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza na abiria katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, wakati wa ziara ya ukaguzi wa mabasi yanayosafirisha abiria kwenda mikoa mbalimbali nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akitoa elimu kwa abiria katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, wakati wa ziara ya ukaguzi wa mabasi yanayosafirisha abiria kwenda mikoa mbalimbali nchini.
Naibu Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akimsikiliza Mkaguzi wa magari kutoka Kikosi cha Usalama Barabarani, Inspekta Ibrahim Samwix (kulia), wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa mabasi yanayosafirisha abiria kwenda mikoa mbalimbali nchini.
Naibu Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(kulia), akishuhudia ukaguzi wa magari katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, wakati wa ziara ya ukaguzi wa mabasi yanayosafirisha abiria kwenda mikoa mbalimbali nchini

No comments: