Ustadhi Hajji Hamis na Ustadhi Maftah wakiongoza kisomo cha Mzee Lipaki Baba Yake Mwanamkasi mke wa mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania New York Bwana Seif Akida. Mzee Lipaki alifariki huko nyumbani Tanga Tanzania. Ndugu na marafiki walisoma kisomo siku ya jumamosi Mt Vernon New York.
Juma mtoto wa marehemu Mzee Lipaki akitoa shukrani baada ya kisomo.
kwa taswira zaidi nenda chini.
No comments:
Post a Comment