Advertisements

Tuesday, March 26, 2019

SIMBA NA YANGA NA BASKETBALL BONAZA H-TOWN OLD REUNION

Wachezaji wa mpira wa kikapu wakipata picha ya pamoja kwenye Basketball bonanza iliyofanyika siku ya Jumamosi Mach 23, 2019 Houston na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka kila pembe ya Marekani.
Wachezaji wa mpira wa kiakpu wakifuatilia mchezo huo huku wakisubilia kuingia kwenye mchezo.
Lambert Tibaigana, Rais wa Jumuiya ya waTanzania Houston akiongea machache kabla hajakabidhi kombe kwa kepteni wa Simba baada ya timu hiyo kuibuka mshindi kwa mwaka wa 3 mfululizo kwa kuifunga UYanga bao 3-0
Lambert Tibaigana, Rais wa Jumuiya ya waTanzania Houston akikabidhi kombe kwa kepteni wa Simba Elvis Dotto.
Kikosi cha Simba SC (Ughaibuni) kilichowatandika Yanga SC (Ughaibuni) 3-0 jion siku ya Jumamosi March 23, 2019 ijini Houston-Texas. Jezi za Simba na Yanga zilidhaminiwa na mkurugenzi wa DELINA GROUP, Mr.Davis Mosha
Yanga SC (Ughaibuni)

No comments: