Padri Honest Munishi akiongoza ibada ya misa ya Kiswahili ya kanisa Katoliki la Mt. Edward iliyofanyika siku ya Jumapili March 31, 2019 Baltimore, Maryland. Misa nyingine itafanyika April 21, 2019 saa 8 mchana katika kanisa hilo na litafuatiwa na sherehe kubwa ya Pasaka na ubatizo.
Waumini wa kanisa hilo wakifuatilia ibada ya misa ya Kiswahili.
Misa ikiendelea.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Waumini wakifuatilia ibada ya misa ya Kiswahili.
Wakati wa sadaka.
Juu na chini ni picha kwenye ukumbu wakati wa chakula cha pamoja baada ya misa.
No comments:
Post a Comment