ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 2, 2019

KUONDOLEWA KWA VAT KWENYE TAULO ZA KIKE KWAPONGEZWA

I4ID kwa kushirikiana na Taasisi binafsi ambao ni wabia wake walishiriki kwenye Maonyesho ya ubunifu yaliyofanyika kuanzia tarehe 25 mpaka 29 Mwezi March 2019 COSTECH BUILDING,Sayansi kijitonyama,Dar es salaam.
Wabia wa I4ID wakizungumzia katika maonesho hayo walishukuru serikali kuondoa tozo ya ushuru (VAT) katika soko la bidhaa za taulo za kike,wabiahaowalioshiriki katika maoneshohayo ni kama ANUFLO (Hedhicup),ELEA,GLORYP
ADS pamoja na BINTI FOUNDATION.
Kwa upandewa mabaloziwa hedhisalama/hedhi salama inatuhusu Wasanii JB na Wastara alishiriki kikamilifu katika kuelimisha umma katika maonesho hayo.


No comments: