Advertisements

Monday, April 15, 2019

SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA YA VIVICA NA AHYAN

 Keki ya birthday ya mtoto Vivica ikiwa tayari katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku yaJumapili April 14, 2019 Springdale, Maryland.
 Keki ya Ahyan nayo ikiwa tayari kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
Vivica akiwa amembeba mdogo wake Ahyan kwenye sherehe zao za siku ya kuzaliwa zilizofanyika siku moja.
Vivica na Ahyan wakiwa katika picha ya pamoja na baba na mama
Ahyan akisaidiwa na wazazi wake kukata keki
Baba akimsaidia mwanae kukata keki
 Vivica akimlisha keki baba yake.
 Vivica akimlisha keki mama yake.
 Vivica akimlisha keki mdogo wake.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Mama akimlisha keki Vivica.
Baba akimlisha keki Vivica
Happy family wakifurahia jambo baada ya kulishana keki.

No comments: