Dula na mkewe Adela wakiwa wenye furaha tele ya kuanza safari ya maisha yao kama mke na mume siku ya Jumamosi Aug 10, 2019 mjini Davie jimbo la Florida mji huo wenye umbali wa saa moja toka mji wa Miami. Katika sherehe hiyo iliyojumuisha ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia. Picha na Vijimambo Blog.
Dula na Adela wakijiandaa kukata keki.
Dula na Adela wakikata keki.
Dula na Adela wakiwa katika pozi tata wakiwa wamependeza kweli kweli.
Dula na Adela wakilishana keki.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Adela akimchumu mama mzazi wa Dula mara tu baada ya kumlisha keki.
Adela akimisha keki kaka mkubwa wa Dula aliyekuja kutoka Kenya.
Dula akielekea ukweni.
Dula akimlisha mama yake mzazi Adela keki.
Mama yake Adela amkilishe keki Dula.
Dula amkilishe keki baba mzazi wa Adela mr. Vlahovljak.
Juu na chini ni densi ya kwanza ya Dula na Adela kama mume na mke.
Dula na Adela wakijiandaa kucheza
Adela akimnyanyua baba yake.
Adela akicheza na baba yake.
Dula akimsindikiza mama yake kwenye sehemu ya kuchezea.
Dula akicheza na mama yake.
Maharusi wakicheza muziki na ukweni.
Dula na Adela wakiwasubili. wazazi na familia ya Dula kwa kuwatunza na madola.
familia ikiongozwa na mama mzazi wakimwaga dola.
Dola zikiendelea kumwagika.
No comments:
Post a Comment