Assalaamu Alakum Warahmatullahi Wabarakatuh
Uongozi wa TZ Muslim Community in Washington DC Metropolitan (TAMCO) una furaha kuwakaribisha wote katika sherehe za Eid el Adh'ha.
*Jumapili, July 11, 2019*
Kuanzia saa tisa mchana - Saa tatu usiku *[3PM - 9PM]*
*INDIAN SPRINGS TERRACE LOCAL PARK*
9717 Lawndale Drive
Silver Spring, MD, 20901
Karibuni tujumuike pamoja katika siku hii ya furaha.
No comments:
Post a Comment