Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi akimuongoza mgeni rasmi Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Michael John kwa ajili ya kuongoza maandamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 10 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Michael John(katikati) akiongoza maandamano ya kitaaluma ya mahafali ya 10 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo. Wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi na kushoto ni Kamishna wa Idara ya Ununuzi wa Umma kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Fredrick Mwakibinga.
Wahitimu wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakifanya maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 10 ya Bodi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Michael John akizungumza kwenye mahafali ya 10 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi huyo alimuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Filipo Mpango (Mb) kwenye mahafali hayo.
Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi akizoma risala pamoja na kutoa neno kwa wahitumu wa Bodi hiyo wakati wa mahafali ya 10 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Kamishna wa Idara ya Ununuzi wa Umma kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dk. Fredrick Mwakibinga akitoa nasaha kwa wahitimu wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakati wa mahafali ya 10 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa mafunzo wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Amani Ngonyani akisoma majina ya wahitimu wa Bodi hiyo waliofika kwenye mahafali ya 10 yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Afisa mwandamiza Masoko na mahusiano kwa Umma wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na Ugavi (PSPTB), Shamim Mdee(wa kwanza kulia) pamoja na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 10 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Michael John akitoa zawadi kwa baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani ya Bodi wakati wa mahafali ya 10 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Mwanasheria wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Suleiman Mnzava(kushoto) akiwalisha viapo vya maadili ya kazi waalamu wa Ununuzi na Ugavi walofika kwenye mahafali ya 10 ya Bodi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Wahitimu wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakila viapo vya kazi wakati wa mahafali ya 10 ya Bodi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wahitimu wa Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Michael John aliyemuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Filipo Mpango (Mb) kwenye mahafali ya 10 ya Bodi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia mahafali ya 10 ya Bodi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam leo.
Picha za pamoja
Serikali imesema haitavumilia uzembe wa aina yeyote utakaofanywa na Wataalamu wa Ununuzi wa Ugavi katika kipindi hiki cha Uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuelekea mapinduzi ya Uchumi wa Viwanda.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Michael John aliyemuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Filipo Mpango (Mb) wakati wa Mahafali 10 ya Bodi ya wataalumu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaliyofanyika katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es Salaam.
Michael John ametoa tahadhari kwa Bodi hiyo isipochukua hatua kwa uzembe wowote, Wizara ya Fedha itachukua hatua dhidi yao, amesema PSPTB inasismia sheria
"Katika hotuba yako umesema Bodi yako inaendelea kutoa miongozi na Maadili ya Kitaaluma, kusimamia mienendo na utendaji kwa Waalamu waliosajiliwa licha ya jitihada hizo bado taarifa mbalimbali za ukaguzi zinaonyesha kuwepo ununuzi holela usiozingatia utaalamu Bodi lazima iweke mikakati mipya kukabiliana na jambo hilo,'' amesema Michael John
Hata hivyo, PSPTB imepongezwa kwa jitihada za utendaji ikiwa kuwafutia usajili na kuwafikisha mahakamani Wataalamu waliosabisha hasara kwa Taifa.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB), Godfred Mbanyi amesema Taasisi kumuajiri mtu asiyesajikiwa na Bodi hiyo ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo kisichozidi miaka miwili jela au faini ya milioni mbili au vyote kwa pamoja.
Kwa upande wake, Kamishna wa Idara ya Ununuzi wa Umma kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Fredrick Mwakibinga amesema taaluma ya Ununuzi na Ugavi ipo kwenye majaribu kutokana na mienendo na tabia ambazo zipo kwenye Jamii kwa Wataalamu wake kutokana na kuhusiana na Fedha za Taasisi.

No comments:
Post a Comment