ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 9, 2019

KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI AKUTANA NA MTAALAM MSHAURI KUTOKA CPA MAKAO MAKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai akisalimiana na Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Bw.Stephen Kagaigai akimsikiliza Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon (wa pili kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Katibu Msaidizi wa Bunge, Ndg. Zainab Kihange, Katibu wa Spika wa Bunge, Ndg. Saidi Yakubu na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Kimataifa na Itifaki, Ndg. Daniel Eliufoo. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

No comments: