Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu pamoja na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe aliofuatana nao siku ya Jumanne Novemba 5, 2019.
Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu akiwa na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa na Watumishi wa Umma katika Ubalozi huo siku ya Jumanne Novemba 5, 2019.
No comments:
Post a Comment