Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania
katika mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na
Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Convention Centre(JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa
nchi za Afrika na Nordic mara baada ya mkutano huo wa Nordic uliofanyika
katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie
Eriksen Soreide kabla ya kuanza mazungumzo katika ukumbi wa Julius
Nyerere International Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Ann
Linde katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre
(JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine
Marie Eriksen Soreide mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri
wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa
mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa nchi za Afrika na
Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya
Kikwete mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje
wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Ann
Linde mara baada ya kumkabidhi zawadi ya Kamusi ya Kiswahili na
Kingereza pamoja na kitabu cha Kiswahili mara baada ya kufungua mkutano
wa Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Waziri wa Mambo ya Nje
wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide kabla ya kuanza mazungumzo yao
katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Finland Pekka Haavisto kabla ya kuanza mazungumzo yao katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC). PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment