ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 26, 2020

ZAIDI YA WATALII 60 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WAWASILI NCHINI

Zaidi ya watalii 60 kutoka mataifa mbalimbali wamewasili nchini jana wakitumia usafiri wa treni ya kifahari ya Rovols (Pride of Africa), wakitokea Afrika Kusini.

Taarifa zinasema watalii hao wake kwa waume watatembele maeneo mbalimbali ya kitalii nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, mbuha ya Serengeti na na hifadhi ya wanyama Ngorongoro
Mwimbaji wa Bendi ya Polisi akicheza na mmoja wa wafanyakazi wa treni ya kifahari ya Rovols (Pride of Afrika), mara baada ya kuwasili kwa treni hiyo Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.
Watalii wakicheza na Bendi ya Polisi mara baada ya kuwasili kwa treni ya kifahari ya Rovols (Pride of Africa), Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.
Treni ya Kifahari ya Rovol Rail ikiwasili katika stesheni ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na Watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingireza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.
Mfanyakazi wa Treni ya Kifahari ya Rovol Rail wakishusha mizigo mara baada ya treni hiyo kuwasili katika stesheni ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Jijini Dar es Salaam ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na Watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.

Mtaalam wa masuala ya Kihitoria na Utamaduni wa Afrika kutoka Afrika Kusini , Nicholas Schofield akifurahia jambo baada ya kuwasili katika Stesheni ya Treni TAZARA Jijini Dar es Salaam akiwa na treni ya Kifahari Rovol Rail( Pride of Africa) iliyowasili leo Januari 25, 2020 ikiwa na watalii zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020. 
Watalii wakiwasili stesheni ya TAZARA jijini Dar es Salaam na treni ya Kifahari Rovol Rail( Pride of Africa). Zaidi ya watalii 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na Uingereza ambao wataende kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka 2020.

No comments: