Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe kuzindua rasmi ofisi ya ardhi ya mkoa wa Singida jana. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo na wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Alhaji Juma Kilimba.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza wakati wa uzinduzi ofisi ya ardhi mkoa wa Singida jana. Kushoto kwa Waziri wa Ardhi ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo na wa pili kushoto ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili na wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala mkoa wa Singida Dkt Angelina Lutamba.
Baadhi ya watumishi wa sekta ya ardhi katika ofisi ya ardhi mkoa wa Singida wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi wakati wa uzinduzi ofisi hiyo mkoani Singida jana.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizindua ofisi ya ardhi mkoa wa Singida jana. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Alhaji Juma Kilimba na kushoto ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikagua baadhi ya majalada katika Masijala ya Ofisi ya ya ardhi mkoa wa Singida mara baada ya kuzinduliwa rasmi jana. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Alhaji Juma Kilimba na kulia kwa Waziri Lukuvi ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimkabidhi cheti mmoja wa wadau waliochangia kufanikisha Ofisi ya Ardhi ya mkoa wa Singida kagua baadhi ya majalada katika Masijala ya Ofisi ya ya ardhi mkoa wa Singida mara baada ya kuzinduliwa rasmi wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi hizo mkoani Singida jana.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimkabidhi Ramani ya Tanzania Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili jana wakati wa uzinduzi wa ofisi za ardhi za mkoa wa Singida.
Taswira ya jengo la Ofisi ya Ardhi mkoa wa Singida (PICHA ZOTE NA HASSAN MABUYE WIZARA YA ARDHI)
No comments:
Post a Comment