ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 2, 2022

NY EBRA ATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU ANDREW SANGA, DODOMA

NY Ebra akiwa kwenye makaburi alikozikwa marehemu Andrew Sanga mapema leo Jumatano March 3, 2022 jijini Dodoma, Tanzania.
NY Ebra akiwa na mwenyeji wake Isaac Kibodya (kushoto) wakiweka maua na kumuombea marehemu Andrew Sanga aliyekua akiishi Houston, Texas nchini Marekani mauti ilimkuta kwa kupigwa risasi na mwili wake kusafirishwa kwa maziko makao makuu ya nchi ya Tanzania jijini Dodoma,
Ny Ebra akiangalikaburi la marehemu Andrew Sanga mapema leo Jumatano March 2, 2022 siku alipotembelea na kuweka shada la maua,

No comments: