ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 8, 2022

RAIS SAMIA AFUTURISHA ZANZIBAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alipofutarisha Viongozi na Wananchi mbalimbali wa Zanzibar Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar Jana tarehe 07 Aprili 2022.(picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiagana na  Viongozi na Wananchi mbalimbali wa Zanzibar baada ya  futari aliyoiandaa Jana tarehe 07 Aprili 2022 Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi baada ya futari aliyoiandaa Jana tarehe 07 Aprili 2022 Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar .
 

No comments: