Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe 23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SC Johnson ya nchini Marekani Bw. Fisk Johnson na Ujumbe wake baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar leo tarehe 23 Agosti 2022. Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 08 April 2022 mjini Zanzibar.




No comments:
Post a Comment