Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani,
ambaye ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe.
Houmed M’Saidie mara baada ya kuwasili i
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe, 01 Agosti, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe
Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, uliowasilishwa na Mjumbe
Maalum ambaye ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi
hiyo Mhe. Houmed M’Saidie, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, ambae ni Waziri
wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie
mara baada ya kuwasilisha Ujumbe kutoka kwa Rais Azali Assoumani Ikulu Jijini
Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha
ya pamoja na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani,
ambae pia ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa Comoro Mhe.
Houmed M’Saidie mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01
Agosti, 2022.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment