Friday, August 16, 2024

RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 44 WA SADC MJINI HARARE AGOSTI 17


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Gabriel Mugabe mjini Harare Zimbambwe, kwa ajilli ya kushiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Agosti 15, 2024.

No comments: