Friday, August 16, 2024

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA TAASISI ZA MABENKI YASIO NA MPAKA YA UINGEREZA IKULU ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi za Mabenki Yasio na Mpaka ya Uingereza ukiongozwa na Mkuu wa Taasisi hiyo Matteo Scalabrinno akiwa na ujumbe wake (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-8-2024, na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Juma Malik Akili na Viongozi wa PDB

No comments: