
Unakaribishwa kwenye TAUS CHOIR CONCERT
Wakali wa hizi kazi Zabron Singers kutoka Tanzania kwa kushirikiana na DMV Advent chorale na wengine wengi.
Hili TAMASHA si la kukosa ni Aug 30, 2025 kuanzia 6pm (12 jioni)
Tamasha litafanyikia
Southern Asian Seventh-Day Adventist Church
WAPI
2001 E. Randolph Rd,
Silver Spring, MD, 20904
Milango itakua wazi kuanzia 5:30 pm (11:30) jioni
KIINGILIO
Wakubwa $40
Watoto miaka 13-17 $20
Watoto miaka 5-12 hakuna kiingilio
Lipia tiketi yako kupitia Zelle Bank of America
978 660 3647 jina TAUS INC.
Karibuni
No comments:
Post a Comment