ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 2, 2026

KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA BANDA LA TET MAONESHO YA 50 YA SABASABA



KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Mh. Balozi, Waziri Rajabu Salum ametembea banda la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya biashara ya Dar es salaam (SABASABA) na kujionea shughuli za taasisi hiyo ikiwemo Vitabu mbalimbali.

Balozi Waziri Rajabu Salum pia amepata nafasi ya kusaini kitabu cha wageni.

TET inashiriki maonesho hayo ya Sabasaba sambamba na uuzaji wa Vitabu mbalimbali elimu ikiwemo Vitabu vya kidato Tano na Sita na vingine vingi elimu ya awali, Sekondari 






No comments: